5.24.2016

0

RAIS MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA (SIKU YA SHERIA) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akilakiwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila alipowasili katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam  February 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa meza kuu na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na  Jaji Mkuu wa Kenya Dkt  Willy Mutungwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016

Majaji Wastaafu wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Wadau wa Sheria wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Majaji  katika  sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Sheikh Khamis akisoma dua katika  sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Kiongozi wa dini ya Hindu sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Msajili wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Mhe. John Lugalema Kahyoza ndiye aliyekuwa MC wa sherehe hiyo

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga akisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa akisikiliza jambo tomakwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman  katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

0 comments:

Post a Comment